Saturday, 29 March 2014

KANUMBA NA DINI YA MASHETANI

Ni sababu gani nasema hivi kwani Kabla na baada ya Kifo cha Steven Kanumba, Mwigizaji mahiri wa bongo movie na Star namba moja katika tasnia hiyo, kulikua na Rumors kwamba mchizi Eti ni 
mfuasi wa dini ya freemason, na ndio uvumi ambao upo mtaani kwamba Eti "Freemason wameamua kumchukua baada ya kwenda kinyume na masharti flani flani, design kama amesaliti chama lililompatia #Kismati cha ku shine kwenye Industry ya Bongo Movie" Je niamini rumors hizi? kwaniiii nani alizianzisha? Na kama ali mess na freemason ni kwanini wakati walishamfanya star? kwani kina free Mason ni kina nani?


Na sasa hivi kitaani baada ya Kifo cha Ze Great wame update taarifa hizi za Ki freemason kwamba tayari kuna mtu eti ndo amekabidhiwa madaraka ya KiFreemason baada ya Kanumba Kumbwela mbwela.. wakati najiuliza hivyo mara kuna jamaa akanitumia picha kadhaa zinazoonyesha alama za mafreemason wanazotumia kwenye mambo yao, ni pozi halafu eti na kanumba naye alikua akizitumia hivyo hivyo, Mimi sisemi Yes OR NO cheki hizo hapo chini then unaweza uka fikiria kwa makini nnacho kiongea.


Hawa ni viongozi wa mbalimbali wanaodaiwa kuwa ni freemason, na hiyo ni Alama ya Pyramid(inaheshimiwa na sana na Freemason)

The Great naye mh...!! Bonge la Pyramid arif

Haya sasa Collin Powel naye anadaiwa kuwa ni freemason, na hapo kwenye nyekunfndu ndo alama 
yenyewe
na wananchi blog:

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA