Korea Kusini:Jamaa wa ndugu waliopotea baharini wapambana na polisi
06:56 |
No Comments |
Jamaa wa baadhi ya waathiriwa 250 wa ajali ya Ferry nchini Korea Kusini ambao bado hawajapatikana, wamekabiliana na polisi.
Usiku kucha , wapiga mbili walipata miili 17 zaidi baada ya kufanikiwa kuingia ndani ya Ferry hiyo iliyozama kwa mara ya kwanza.
Walinzi wa bahari katika pwani ya nchi hiyo, walishindwa kueleza ni sehemu gani hasa ambapo miili hiyo ilipatikana ndani ya ferry hiyo baada ya kushindwa kuona vyema wakiwa chini ya bahari.
Meli hiyo ilizama siku ya Jumatatu ikiwa imewabeba watu zaidi ya mienne wengi wakiwa wanafunzi wa shuke.
Waendesha mashitaka wanasema kuwa wakati wa ajali hiyo kulikuwa na nahodha mwengine asiye na uzoefu aliyekuwa ameshikilia usukani wa meli hiyo.
Nahodha huyo alikamatwa pamoja na nahodha wa ferry hiyo na wafanyikazi wengine.Chanzo Bbc
Related Posts:
INNOCENT SHIRIMA AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA VUNJO Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo. Mgombea Ub… Read More
JESHI LA UFARANSA LAENDESHA MASHAMBULIZI SYRIA Rais wa Ufaransa, François Hollande, kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, New York, Septemba 27, 2015. Na RFI Ufaransa imeendesha Jumapili hi… Read More
KURASA ZA MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 28.09.2015 … Read More
NYOSSO ARUDIA YALEYALE YA MAGURI, SAFARI HII AMDHALILISHA BOCCO CHAMAZI, ATAKA KUMCHAPA Nahodha wa Mbeya City, Juma Nyosso amerudia yaleyale baada ya kumdhalilisha nahodha wa Azam FC, John Bocco. Nyosso amempisha makalio Bocco wa… Read More
KIFO CHA MCHEZAJI COASTAL UNION,TFF YATUMA RAMBIRAMBI Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambirambi kwa mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union, Dr Twaha Ahmed kufuatia kifo cha m… Read More
0 comments:
Post a Comment