ANGALIA PICHA WABUNGE WA UPINZANI WALIVYOTOKA BUNGENI 08:44 | No Comments | Wabunge kutoka vyama mbalimbali vya upinzani Bungeni wakiongozwa na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Free Man Mbowe wakitoka nje ya bunge kususia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Wizara ya nishati na Madini uliokuwa ulkiendelea Bungeni mjini Dodoma. Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment