MWANDISHI ATUHUMIWA KUFANYA HUJUMA KENYA
Serikali
ya Kenya imeombwa kumkamata na kumuwasilisha haraka mwandishi habari
Walter Barasa katika mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za
uhalifu iliyo mjini Hague. Mwandishi huyo anatuhumiwa kuhujumu shughuli
za koti hiyo kwa kuwashawishi mashahidi kubadilisha au kutotoa ushahidi
kenye kesi dhidi ya makamu wa Raisi wa Kenya William Ruto anayeshtakiwa
pamoja na Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa madai ya kuhusika katika
ghasia zilizozuka nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wa 2007. Mwito huu
umetolewa na mshirikishi wa mahakama ya ICC nchini Kenya Bi Maria
Camara alipouzuru mji wa Kisumu. chanzo: VOA
NA J M
0 comments:
Post a Comment