Monday, 29 September 2014

AJICHUBUA KWA ACID ILI AFANANE NA MICHAEL JACKSON:CHEKI PICHA HAPA

Mwanaume Ajichubua Ngozi kwa Kutumia Acid Ili Afanane na Michael Jackson 
Jamaa mmoja ambaye ni shabiki mkubwa wa Michael Jackson nchini Brazil ameamua kutumia acid ili kuingarisha ngozi yake ili aweze kufanana na nguli huyo wa muziki wa pop duniani.

Imeelezwa kwamba jamaa huyo hutumia kiasi cha £2,000 kununua vipodozi vya aina mbalimbali ali aweze kufanana na Michael.

Antonio Gleidson Rodrigues, 32, inayeaminika kuwa ni mtu namba moja kuwa na muonekano kama wa Michael ndani ya Brazil, ilimbidi pia kufanya upasuaji mdogo ili aweze kufanana na mfalme huyo wa pop, na amekuwa akitumia karibu masaa manne kwa siku akifanya mazoezi ya uchezaji wa Michael Jackson.

Gleidson Jackson, kama ambavyo amependa kufahamika , alifanya upasuaji wake wa kwanza miaka mitano iliyopita, alisema: ‘Mwanzoni haikuwa rahisi kufika kwenye note za juu kama Michael ila nilipofanya upasuaji sasa naweza kuimba baadhi ya note vizuri zaidi.’


Cheki picha zaidi hapo chini...











 

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA