MWANAMUZIKI AMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR!CHEKI PICHA HAPA
Waombolezaji wengine wakijiandaa kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki juzi amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.
-MATUKIOTZ