Saturday 10 September 2016

NEWS UPDATE::TETEMEKO LA ARDHI KATIKA MKOA WA KAGERA

image.jpeg
Picha kwa hisani ya Jamii Forums


Taarifa zilizofikia meza yetu ya habari zinaeleza kuwa  jioni hii,limetokea tetemeko la ardhi limeukumba mkoa wa Kagera katika wilaya za Bukoba pamoja na Karagwe ambapo mali ikiwemo nyumba kadhaa zimeharibiwa huku taarifa hiyo ikidai kuwa wapo waliopoteza maisha pamoja na kupata majeraha katika tukio hilo.

Kwakweli hii ni mara ya kwanza kushuhudia tetemeko kwa kiwango kikubwa namna hii , kuta nyumba zimeanguka ,siwezi kusema waliojeruhiwa  ni wangapi kwakuwa nadhani limeenea na kugusa sehemu kubwa" alisema mtoa taarifa.

Tunazidi  kufuatilia taarifa hii kiundani na tutakujuza undani wake kadiri tutakavyopata taariofa hizi.




Na tayari mashirika kadhaa ya Hali ya hewa yameanza kuripoti hali hii kupitia Mitandao ya kijamii 





Earthquake measuring 5.7 hits northwest Tanzania: USGShttp://www.thehindu.com/news/international/earthquake-hits-northwest-tanzania/article9094655.ece   


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA