Saturday, 29 March 2014

BREAKING NEWZZZZZ:- MAJAMBAZI WAVAMIA DUKA LA RASTA ZA KINADADA KARIAKOO WAUWAWA PAPOHAPO


DUKA la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika kuwa majambazi, Ni mda mchache uliopita kutoka sasa tangu tukio hilo li
jiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa na baadhi, Idadi kamili endelea kufatilia hapa maana waandishi wa website ya Masai Nyotambofu pamoja na wadau bado wapo katika eneo la tukio kufatilia kwa kina,
You might also like:














0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA