Monday 24 March 2014

Kijana akamatwa kwa mauaji London


Shereka Fab-Ann Marsh msichana mwenye umri wa miaka 15 aliyeuawa
Kijana mwenye umri wa miaka 15, amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji mjini London Uingereza.
Kijana huyo alimuua msichana Shereka Fab-Ann Marsh mwenye umri sawa na wake katika mtaa wa Hackney siku ya Jumamosi.
Polisi wamesema kuwa msichana huyo alifariki katika nyumba moja mtaani humo saa kumi Jioni.
Kijana huyo ambaye hawezi kujatajwa kwa jina kwa sababu ya umri wake mdogo atafikishwa mahakamani leo.
Vijana wengine wawili waliokamatwa kuhusiana na mauaji hayo, wameachiliwa na polisi

na BBC

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA