Sunday 30 March 2014

MWANAMKE ALMMUA MTOTO WAKE WA KIUME (MIAKA 4) KWA KUHISI ATAISHIA KUWA SHOGA!!


Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Jessica Dutro, anakabiriwa na kesi ya mauaji huko Washington Marekani baada ya kutuhumiwa kuwa alimpiga mwanae wa miaka 4 hadi kumuua baada ya kuhisi kuwa atakuwa ‘shoga’.

Waendesha mashitaka walidai kuwa August 14, 2012 mama huyo aliwapiga vibaya watoto wake watatu, lakini kipigo kilikuwa kikali zaidi kwa mwanae aitwae Zachary Dutro- Boggess ambaye alimuudhi zaidi baada kuona kuwa anatabia za kishoga mapema akiwa mtoto.Baada ya kipigo kikali mtoto huyo alipelekwa hospitalini siku hiyo na kitengo cha dharura na kuwekwa kwenye mashine ya kumsaidia kupumua, hata hivyo baada ya siku mbili alipoteza maisha.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA