Friday, 25 April 2014

AIBU KUBWA:NJEMBA ALEWA CHAKARI HADI ALALA STENDI

Vitabu vya Mungu vinataja kila kitu ni lazima kiwe na kiasi, ukizidisha basi kinachoweza kutokea ni aibu. Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja,


Katika hali ya sintofahamu kijana mmoja amekutwa akiwa amelewa chakali na kulala kwenye stendi ya mwenge. kukata ‘netiweki’ jambo lililosababisha ‘aangushe gari’ pembeni mwa stendi ya daladala ya Mwenge jijini Dar. Ishu hiyo ilitokea wiki iliyopita ambapo paparazi wetu alibahatika kushuhudia laivu jamaa akijigeuzageuza kama yuko kitandani kwake.Kufuatia tukio hilo, kibaka mmoja aliamua kumgeuza dili mlevi huyo kwa kumsachi na kumchania mifuko yote ya suruali jambo
Wananchi wakifanya jitihada za kumuamsha. lililowaudhi waliokuwepo jirani na kumng’ang’ania
NA GPL

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA