Wednesday, 2 April 2014

AJALI NYINGINE MBAYA YA BASI LA MOHAMMED TRANS YAUA JIJINI MWANZA

Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa  Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!..
Na wananchi blg

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA