ANGALIA PICHA ILIVYOKUWA AJALI YA BASI MKOANI SIMIYU NA KUUWA WATU 11
08:39 |
No Comments |
Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi.
AJALI hii mbaya iliyopotea uhai wa watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30 ilitokea jana katika Kijiji cha Yitwimila 'A', Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu majira ya saa 4 asubuhi
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.
Basi la abiria la Luhuye Express baada ya kupinduka.
Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo mbaya.
Related Posts:
KUELEKEA MIAKA 25 AZIMIO LA BEIJING,WADAU WAKUTANA KUTATHIMINI MUSTAKABALI WA JUHUDI ZA UKOMBOZI WA MWANAMKE NCHINI Sehemu ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyolenga kutathimini mustakabali wa juhudi za ukombozi wa mwanamke nchini kuelekea miaka 25 ya mk… Read More
MAADHIMISHO WIKI YA MAZINGIRA YAWAKUTANISHA WADAU SEKTA YA UCHUKUZI Afisa Habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA Ally Changwila akifafanua mikakati inayofanywa na mamlaka hiyo kuhakikisha shughuli za anga zinakuw… Read More
MISA TANZANIA,ICNL ZAKUTANISHA WADAU KATIKA WARSHA YA UTETEZI WA SHERIA ZA VYOMBO VYA HABARI Washiriki wa warsha ya utetezi wa sheria za vyombo vya habari iliyoandaliwa na kuendeshwa na MISA kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la … Read More
UMOJA THABITI NA NIA YA PAMOJA KWA WADAU WA HABARI VYATAJWA KAMA HATUA MUHIMU KUZIKABILI CHANGAMOTO KATIKA TASNIA HIYO Picha ya pamoja ya washiriki wa semina hiyo Na Mwandishi Wetu MISA Tanzania na shirika linalojikita katika kuimarisha uwezo wa vyombo vya … Read More
VITU 10 AMBAVYO WANAUME WALIOKOMAA HAWAVIFANYI Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume walioko… Read More
0 comments:
Post a Comment