NI BONGO TU DUNIA NZIMA HAWAWEZI
Unajua Bongo tuna
utalaamu wa kutengeneza kitu kabla siku yenyewe haijafika. Utaalamu huu
ni nadra sana uko Bongo peke yake. Wamarikani wakijua tumekwisha
watataka kutunyanganya. Blog hii inaomba utaalamu huu ulindwe na Katiba
mpya hii ya wanasiasa. Kama hapa unaona japo huu ni mwezi April tayari
tumetengeneza vitu mwezi May Teh teh teh teh
na kitime
0 comments:
Post a Comment