Thursday, 29 May 2014

MSANII RECHO KUZIKWA LEO DAR






Marehemu Rachel Haule 'Recho' enzi za uhai wake.
MSANII wa filamu Rachel Haule 'Recho'  aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya  Songea kama ilivyopangwa hapo awali.

Ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA