NDOTO ZA RONALDO, BALE KUBEBA LA LIGA ZAYEYUKA KABISA, REAL MADRID YALA KISAGO CHA 2-0 KUTOKA KWA CELTA VIGO
MAKOSA mawili ya Sergio Ramos na Xabi Alonso yameyeyusha matumaini ya Real Madrid kushinda makombe matatu msimu huu.
Real
Madrid walikuwa na uwezo kwa kubeba La Liga mbele ya wapinzani wao FC
Barcelona na Atletico Madrid, lakini wameshindwa kufanya hivyo baada ya
kupigwa mabao 2-0 na Celta Vigo usiku huu.
Kikosi
cha Celta Vigo: Alvarez, Jonny, Cabral, Fontas, Aurtenetxe, A Fernandez
(A Lopez 56), Krohn-Dehli, Rafinha (Madinda 71), Orellana, Charles
(Bermejo 67), Nolito.
Kikos
cha Real Madrid: Lopez, Arbeloa (Coentrao 56), Nacho, Ramos, Marcelo,
Alonso, Casemiro (Willian Jose 69), Khedira (Illaramendi 56), Modric,
Isco, Morata.
Muuaji: Mshambuliaji wa Celta Vigo , Charles alifunga mabao mawili katika ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Real Madrid jumapili
Wachezaji wa Real wakiwa hawaamini kinachotokea baada ya ndoto zao za kubeba La Liga kuyeyuka
Viungo wa Real Madrid, Luka Modric (kushoto) na Xabi Alonso (kulia) hawakutosha kuikoa klabu hiyo na kipigo
Mpepetano ulikuwa mkali, lakini mwisho wa dakika 90, Celta Vigo wameibuka vidume
0 comments:
Post a Comment