SASA HII NDIO KUBWA ZAIDI KWA DIAMOND, ACHAGULIWA KUWA NOMINEE KATIKA BET 2014 MAREKANI
Ilikua
stori kubwa pale Diamond Platnumz alipotangazwa kushiriki kwenye tuzo
za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa cha burudani
Afrika.
Anaigombea
hiyo tuzo na Davido wa Nigeria, Mafikizolo wa South Africa, Tiwa Savage
wa Nigeria, Toofan na Sarkodie wa Ghana. the OFFICIAL #BETAwards #BestIntlActAfrica nominees
2014!…. BET kupitia page yao ya twitter waliandika kuthibitisha
kuchaguliwa kwa Diamond na kumpongeza akiwa pia ni msanii pekee wa
Afrika Mashariki kwenye tuzo hizi za mwaka huu.



NA MATUKIO BLG
0 comments:
Post a Comment