Monday 23 June 2014

AIBU:::DADA WA KIZUNGU AMTOA NISHAI HEMED PHD CLUB

 
Hii ilitokea Club Billicanas ambapo bishoo huyu alijikuta akisachiwa na mtoto huyu wa kike kwa kupandishiwa sauti na kurushiwa maneno makali, mapaparazi walifanikiwa kuzipata picha za tukio japo haikujulikana mara moja nini kilikua chanzo cha ugomvi huo. 
Hata hivo watu waliokuwepo waliingilia kati ugonvi huo hivyo kuepusha balaa hilo...si mchezo!Shuhudia mwenyewe sakata zima lilivyokuwa hapa chini....





0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA