Saturday 5 July 2014

HATARI::KIJANA APEWA ADHABU YA KUTUNDIKWA KWENYE MTI BAADA YA KUKUTWA ANAIBA FUNGUO ZA DALADALA KATIKA GARAGE MOJA SOWETO.



 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mtibaada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
 Kijana huyo akiwa anapata shida  na mateso kwa kuwa alikuwa amebinya na kamba hizo mtini
 Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
 Kijana huyo akiendelea kuteseka 
 Hali inakuwa Mbaya zaidi
 Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA