Saturday 5 July 2014

HILI NDILO GARI ALILOPATIA AJALI NA KUTANGULIA MBELE YA HAKI WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD MOURINGE SOKOINE ONA MWENYEWE..


HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE
Image
Image
Pichani ni gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mhe:Edward Moringe Sokoine mnamo Tar 12 Mwezi 04 Mwaka 1984 wakati akitokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma kwenda jijini Dar – Es – Salaam.
Image
Picha hapo juu ikimuonyesha Baba wa Taifa ambaye naye ni marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akilia kwa uchungu baada ya kuona mwili wa aliyekuwa rafiki yake kipenzi Waziri Edward Sokoine ukiwa umelala milele.
NA-LE MUTUZZ

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA