09:48 |
|
Mkuu wa jeshi la polisi nchini inspekta jenerali Ernest Mangu ametoa tamko kuhusu matukio ya ulipuaji wa mabomu na kusema wananchi wasiwe na wasiwasi kwani jeshi hilo linaendelea na uchunguzi na sasa lipo katika hatua nzuri ila wahakikishe wanatoa ushirikiano katika kuwafichua wahusika.
0 comments:
Post a Comment