Saturday 2 August 2014

ANGALIA PICHA ZAIDI AJALI YA BASI LA HOOD ILIYOTOKEA ARUSHA


 
 Muonekano wa basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo.
 Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha.
 Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.


Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo, wengi wajeruhiwa.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA