Kuna Taarifa kuhusu Jeshi la Nigeria kuwachinja wanamgambo wa Boko Haram na kuwazika katika kaburi la Pamoja, Habari hiyo bado inachunguzwa na Mashirika ya haki za binadamu duniani na Serikali ya Nigeria kujua kiundani nini hasa kilitokea.
Mnara wa Mau Mau kuzinduliwa Nairobi
Mnara wa kumbukumbu wa Mau Mau
Mnara wa kuwakumbuka wapiganaji wa Mau Mau, walioongoza vita vya ukombozi kutoka kwa utawala wa kikoloni nchini Kenya…Read More
0 comments:
Post a Comment