Friday, 19 September 2014

ANGALIA PICHA SCOTLAND WALIVYOPIGA KURA KUAMUA KUJITENGA NA UINGEREZA.


 Matokeo ya awali ya kura ya maoni ya uhuru wa Scotland yameanza kutolewa huku wasiotaka kujitenga wakiongoza..
 Tayari majimbo zaidi ya 20 yametoa matokeo huku wanataka kubaki chini ya himaya Uingereza wakiongoza kwa kupiga kura ya hapana kwa asilimia 55 dhidi 45.
 Moja wapo ni Jimbo la Clackmannanshire ambalo limepiga kura ya hapana katika matokeo yaliyotolewa asubuhi hii.
 wahesabu kura wakishangaa uwingi wa kura





OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA