Friday 26 September 2014

ANGALIA VIDEO:MCHUNGAJI ALIYEWAHI KUWALISHA NYASI WAUMINI SASA AWANYWESHA PETROLI!





Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol.Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA