MAJANGA:MWANANKE AFANYA MAPENZI NA SAMAKI ::CHEKI ALICHOSEMA
11:26 |
Mwanamke aliyefanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin aongea kwa mara ya kwanza.
Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii imetokea ambapo mwanamke ambaye alifanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin ikiwa ni sehemu ya utafiti wa kisayansi amezungumza kwa mara ya kwanza juu ya hatua hiyo.
Mwanamke huyo Margaret Howe Lovatt ambaye ni mtafiti wa wanyama amesema alikuwa sehemu ya utafiti huo uliofanyika katika kisiwa cha Virgin nchini Marekani kwa ajili ya kuwafundisha viumbe wa baharini wenye akili jinsi ya kuongea kiingereza.
Margaret Howe Lovatt anasema alikuwa akijaribu kumfundisha Peter (the dolphin) jinsi ya kuongea kiingereza lakini uhusiano wao ulikwenda mbali zaidi.
Ilikuwa mnano wa mwaka 1963 ambapo walimsaidia kutengeneza bwawa la Dolphin nyumbani kwake ambako wanasayansi wangeweza kuwasoma wanyama hao wakiwa nyumbani, ndipo hapo Margaret alipokuna na Peter ambaye ni samaki aina ya Dolphin kwa wakati huo akiwa bado mdogo ambapo wawili hao wakapatana na mahusiano yao kukua zaidi kimwili.
Margaret amenukuliwa akisema kuwa “Peter (Dolphin) alipenda kuwa na mimi, mara nyingi alikuwa akijisogeza mwenyewe karibu yangu kwenye mguu wangu au mkono na kuruhusu kitendo hicho.”
Anaendelea kusema kuwa “Haikuwa shida kwangu kwani Peter alikuwa akihisi uwepo wangu na kuona ni kitendo cha kimapenzi kwa upande wake lakini kwangu niliona ni kitu cha kawaida kama sehemu ya masomo yangu.”
Related Posts:
KIM KARDASHIAN ATTACKED IN PARIS...CHECK PHOTOS THE HERE A Terrified Kim Kardashian attacked by red carpet prankster at Paris Fashion Week Kim is the latest victim of Ukranian red carpet … Read More
MWANAUME MREFU ZAIDI DUNIANI AFARIKI CHEKI PICHA ZAKE.. internet advertising Leonid Stadnyk, believed to be the world's tallest man at 8ft 4 inches has died. He was just 44. The peasant farmer from t… Read More
HABARI MBAYA KWA WATUMIAJI WA FACEBOOK! SOMA ZAIDI HAPA KIFUPI: Facebook Kuanza Kuwachaji Dola 2.99 Watumiaji wa Mtandao Huo Kila Mwezi Kuanzia Mwezi wa Kumi na Moja At a press confe… Read More
MAJANGA:WATUMIAJI WA IPHONE 6 WALALAMIKIA SIMU HIYO KUPINDA MARA TU UWEKAPO MFUKONI Owners of the new iPhone 6 Plus have been left angered as it emerged the phone can bend out of shape simply when stored in a pocket.Since th… Read More
MAJANGA:MWANANKE AFANYA MAPENZI NA SAMAKI ::CHEKI ALICHOSEMA Mwanamke aliyefanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin aongea kwa mara ya kwanza. Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii ime… Read More