Wednesday 21 January 2015

, RAIS KENYATTA ATOA KAULI JUU YA WANAFUNZI KUPIGWA MABOMU YA MACHOZI KENYA



uhunye
Waziri wa usalama nchini Kenya, Joseph Nkaissery amewaomba radhi  wanafunzi wa shule ya msingi ya Lang’ata baada ya  kupigwa mabomu ya machozi jana walipoandamana kupinga kunyang’anywa kipande cha ardhi ambacho kilikuwa uwanja wao wa kuchezea.Jana hata hawataki tusherehekee, tukicheza wanatupiga na rungu wanatuletea madogi”–Mwanafunzi.
0
Waziri wa usalama Kenya, Joseph Nkaissery.
Rais Uhuru Kenyatta amelaani tukio hilo na  kumtaka Waziri wa Ardhi,  Charity Ngilu na Mwenyekiti wa Tume ya Ardhi,  Mohammed Swazuri kuwajibika na kueleza kwanini walizembea, huku Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo pia kalaumiwa kwa kusindwa kuzuia watoto hao kujihusisha na vurugu.
Bado haijafahamika ni nani aliyehusika na ujenzi huo.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA