Friday 13 February 2015

Happy Birthday To Kd Mula #FUNGUKALIVE# Team Wish You All The Best.




Leo Ni Birthday Ya Kd Mula (Dickson)  Ambaye Ni Mmiliki Wa Funguka Live  Blog.Kupitia blog hi Amekuwa Akisimamia Vyema Masuala Mengi Ya Kiburudani, Kijamii, Kielimu pia Kuwa Msaada Mkubwa Kwa baadhi ya watu wanaomzunguka bila kuangalia umri wala hali ya maisha.

"Shukrani za kwanza zimuendee Mungu kwa kunifikisha hapa,pili kwa wazazi wangu wapendwa kwa  malezi na sapoti yao (love you),marafiki zangu na wewe mdau wa FUNGUKA LIVE...
Kuna mengi yanakuja kwako kupitia FUNGUKA LIVE kwa hiyo uwepo wako ni wathamani sana kwetu,"
FUNGUKA LIVE Team Tunamtakia Kheri Na Mafanikio tele Maishani.

BOFYA HAPA KUMFOLLOW INSTAGRAM

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA