Monday 29 December 2014

CHEKI MSIMAMO NA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND ZILIZOCHEZWA LEO


Mechi za leo zimefunga pazia la mwaka 2014 na ligi itaendelea kuanzia tarehe moja January 2015,ambapo Chelsea wamefanikiwa kumaliza mwaka huu kwa furaha baada ya kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo yenye mvuto zaidi duniani.
NB:Msimamo huu wa ligi ni kabla ya mechi kati yha Liverpool  dhidi ya Swanse utakaopigwa tarehe 29/12/2014.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA