Saturday 7 February 2015

MFANYA KAZI "MOCHWARI" AKIRI KUFANYA MAPENZI NA MAITI ZA WANAWAKE..CHEKI HAPA


Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni , Mwanaume mmoja mfanyakazi wa Chumba cha kutunza maiti Nchini Ghana Ameojiwa na Kituo cha TV cha Adom Nchini humo na Kufunguka Makubwa.....


Sharkur Lukas Amefunguka na Kusema kwa Kuwa imekuwa ngumu sana kwake kupata wanawake wazuri kutokana na kazi anayoifanya ilimbidi atafute njia nyingine ya kujiridhisha kimapenzi kwa kuwaingilia maiti wanawake ambao bado hawajaharibika wanao letwa kuhifadhiwa katika Motuari anayofanyia kazi.


>>BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA UPATE HABARI <<

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA