AIBU YA MICHEPUKO: ANG'ATWA SEHEMU NYETI AKILAZIMISHA KUFANYA MAPENZI NA RAFIKI WA MKEWE
Maria Ionita akiwa na mumewe, Florin Ionita hospitalini. MWANAUME aitwaye Florin Ionita, 53, ameng'atwa sehemu yake nyeti na rafiki wa mkewe wakati akijaribu kumlazimisha afanye naye mapenzi.
>>BOFYA HAPA KUDOWNLOAD ANDROID APPLICATIO YA FUNGUKA LIVE BLOG ILI HABARI ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA KATIKA SIMU YAKO<<
Baada ya karamu hiyo, Maria aliamua kuwapeleka baadhi ya marafiki zake nyumbani kwao huku nyuma akimuacha mumewe akiwa na rafiki yake mwenye umri wa miaka 24.
Kufuatia tukio hilo, Maria alitaka kujua kilichotokea ndipo rafiki yake akamweleza kuwa mumewe alimlazimisha afanye naye mapenzi na kuvua suruali ndipo akaamua kujihami kwa kumng'ata sehemu zake nyeti.
Maria aliamua kumsamehe mumewe kwa kusema: "Nimemsamehe maana alikuwa akijaribu kufanya kitendo ambacho wanaume wengi hutaka kukifanya, ila nilipowapigia watu wa gari la kubeba wagonjwa sikufanya haraka, na niliwaambia wasifanye haraka sana kufika eneo hilo" Mwanamke huyo mbali na kuwaambia wasifanye haraka watu wa gari la kubeba wagonjwa, pia aliwatajia eneo ambalo si husika ili kumpa fundisho mumewe huyu mchepukaji.

0 comments:
Post a Comment