Thursday, 27 July 2017

HII NDIYO NJIA YA MWANAMKE YA KUPUNGUZA UNENE WA TUMBO NA KUWA FLATI


Tumia salad yenye mchanganyiko wa nyanya, pilipili. Chkula chenye protini nyingi kinasaidia kuondoa njaa hivyo kupunguza mafuta mwilini. 
 LEO NI MAZOEZI YA YOGA. 
Leo tunaendelea na mfululizo wa mazoezi ambayo yatakufanya wewe mwanadada uongeze urembo wako kwa kuondokana na tumbo kubwa lililojaa nyama-uzembe na mafuta ili uwe na tumbo flat. 


Haina haja ya kutumia makemikali ambayo yatakuletea madhara hapo baadaye. 



Unachotakiwa kufanya ni mazoezi tu na kuzingatia maelekezo ili uyafanye mazoezi hayo kwa ustadi wa hali ya juu. unatakiwa kufanya mazoezi ya yoga. 


Mazoezi haya yatakusaidia kupata pumzi na kuimarisha misuli yako huku ukiondoa kiasi kikubwa cha mafuta mwili. 
Kula chakula chenye protini 
  


 
 

  Salad hiyo unaweza kuichanganya pia na matango.
chanzo: jumamtanda


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA