Thursday 13 October 2016

TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 14 YAJIFUA JIJINI MWANZA


Mshauri wa soka la maendeleo ya vijana, Kim Poulsen (mwenye jezi ya bluu) na rafiki yake, Benny Pedersen wakisimamia mazoezi ya viungo ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF)
Vijana wa timu hiyo wakiwa hima kupambana uwanjani kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).




0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA