Friday, 24 April 2015

TAARIFA ZA POLISI KUAWAWA MOROGORO NI UZUSHI SI ZA KWELI

Kuna Taarifa zinasambaa Kwenye Mitandao ya Kijamii Kuhusu Askari Polisi Kuuwa na wananch Huko Morogoro Ni Uwongo.Taarifa za Ukweli Zilizotofikia hivi Punde Zinasema Askari Polisi huyo ni Mzima yupo Katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro.  Taarifa Zinazosmbaa ni Hii Hapa Chini.
-THECHOICE

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA