Sunday, 14 June 2015

ALI KIBA ANG'ARA KILIMANJARO MUSIC AWARDS ABEBA TUZO 5




http://talkmedianigeria.com/wp-content/uploads/2014/12/ali-kiba-mwana-video-610x400.jpg

Mwana Dar es salaam yambeba Ali Kiba Tuzo za Kili,kwani ameweza kushinda tuzo 5,huku mshindani wake "kimuziki" Diamond platinum akiambulia tuzo mbili pekee.
http://riopaul.com/wp-content/uploads/2013/03/DSC_0285.jpg
Katika tuzo hizo ambapo  wasanii wengine nao wametwaa ushindi wakiwemo Vanessa Mdee, Joh Makini, Mzee Yusuph,  Mjomba,  Jux, Baraka da Prince, mkongwe Profesa J, mwanamama Isha Mashauzi,  Fm academia band na wengine wengi.

Vile maoni ya wadau wengi katika mitandao ya kijamii yameonesha dhahiri kutoridhishwa na baadhi ya maamuzi katika ushindi wa baadhi ya wasanii .......HILI nitakujuza baada ya kupata maoni rasmi na kuzungumza na wadau kiundani,
LAKINI NA WEWE UNAYO NAFASI KUANDIKA MAONI YAKO  NAMI NITAYAWASILISHA SEHEMU HUSIKA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA