Friday 24 July 2015

CHEKI PICHA ZA MAPOKEZI ALIYOPATA DIAMOND PLATNUMZ NA MASANJA MKANDAMIZAJI ,MOSHI KWA AJILI YA KUSHUSHA BURUDANI MISS KILIMNJARO AMBSSADOR LEO


 Mwanamuziki Naseeb Abdul almarufu kama Diamond Platnumz akisalimia warembo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Kilimanjaro International Airport (KIA).




Shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 linafanyika usiku wa leo katika viwanja ya Kili Home Resort kuanzia saa mbili usiku likiambatana na burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo wasanii mbalimbali watatumbuiza akiwemo Diamond Platnumz na burudani ya Uchekeshaji kutoka kwa Masanja Mkandamizaji. 

SIJUI UNAANZAJE KUKOSA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA