Wednesday, 26 August 2015

MARIO BALOTELLI AREJEA ITALIA NA KUJIUNGA NA AC MILAN,

MCHANA WA LEO

Mario Balotelli amerejea kwao Italia ambako anafanya vipimo vya afya na akifanikiwa basi anajiunga na AC Milan.


Mchana wa leo, Balotelli alikuwa AC Milan, timu ambayo ilimnunua kutoka Liverpool ambayo imekubali kumuachia kwa mkopo kama atafuzu vipimo hivyo.

Mambo yake yamekuwa hayamuendei poa akiwa na Liverpool ambayo wiki chache zilizopita imekubali kumsajili Christian Benteke.

CV YA BALOTELLI
Liverpool (2014-15): 16 games; one goal
AC Milan (2013-14): 43 games; 26 goals
Man City (2010-13):  54 games; 20 goals
Inter Milan (2006-10): five games; two goals 
Total cost: £59million 
Baloteli akiwa Liverpool

ALIPOKUWA AC MILAN

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA