Monday 23 May 2016

ALIYETAKA KUJIUWA KWA KULIWA NA SIMBA AOKOLEWA: CHEKI PICHA


Mwanaume aliyevua nguo zote na kisha kujirushwa kwenye chumba cha simba nchini Chile kwa lengo la kujiuwa amenusurika kifo, lakini ni baada ya simba hao kuuwawa.



Mamlaka za Jiji la Santiago zimethibitisha kutokea kwa tuko hilo ambapo simba wawili waliuwawa wakati wakimg'ata mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 20 siku ya jana.



Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Franco Luiss Ferrada Roman alikimbizwa hospitali iliyopo karibu kwa matibabu na hali yaki inasemekana ni mbaya.
                     Simba wakimg'ata mtu huyo aliyetumbukiwa kwenye chumba chao
Mwanaume aliyejitumbukiza kwenye chumba cha simba akiwa amemkumbatia kwa mikono na miguu simba dume aliyekuwa akimng'ata shingon

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA