Tuesday 10 May 2016

MTU MWENYE KISU AUWA MTU MMOJA NA KUJERUHI WANNE UJERUMANI

Mwanaume mmoja aliyekuwa akitamka 'Allahu Akbar' (Mungu Mkubwa) amemuua abiria mmoja na kujeruhi wengine wanne kwa kisu kwenye treni nchini Ujerumani leo asubuhi.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27, anasemekana ni raia wa Ujerumani na wala sio mhamiaji kama ilivyoripotiwa.

Hata hivyo abiria waliokuwemo kwenye treni hiyo walimzidi nguvu mshambuliaji huyo na kwa sasa anashikiliwa na polisi.
    Wapelelezi wakiendelea na shughuli yao katika eneo la tukio, huku wakipiga picha

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA