Friday 24 June 2016

WAZIRI MKUU UINGEREZA DAVID CAMEROON AACHIA NGAZI

Waziri Mkuu wa Uingereza Bw.David Cameron  ametangaza kujiuzulu wadhifa wake baada ya wananchi wa Uingereza kupiga kura za kusema hawataki kuendelea kuwamo ndani ya EU walimokuwamo kwa miaka 43.

Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa atasalia ofisini kwa siku tisini zijayo ndipo angatuke.
Bw Cameron ambaye ameongoza kampeini ya kusalia katika muungano wa EU amesema kauli hiyo imempa mshutuko mkubwa na kwa baadhi ya watu mashuhuri duniani.
PICHA NA BBC/ SWAHILI

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA