SIKU YA FAMILIA YA TBL ARUSHA BURUDANI TELE
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group kiwanda cha Arusha walikutana na familia zao katika siku ya familia iliyofanyika katika katika viwanja vya TGT ambayo ilikuwa na burudani tele za kila aina kuanzia kucheza muziki,michezo mbalimbali ya watu wazima na watoto ,misosi na vinywaji bila kusahau zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi na familia zao.
0 comments:
Post a Comment