Monday 7 November 2016

TANZIA: SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa  za  kifo chake zimethibitishwa na Mwanae Benjamin Sitta.
Alizaliwa  tarehe 18 mwezi Desemba mwaka 1942,Mungu aiweke Roho ya marehem mahali pema peponi ...Amina

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA