Friday 30 December 2016

SAA 56 ZILIZOCHUKUA UHAI WA BINTI , MAMA NGULI WA HOLLYWOOD

Muigizaji mkongwe wa Hollywood Debbie Reynolds amefariki dunia jana baada ya siku moja kupita tangu kutokea kifo cha binti yake muigizaji Carrie Fisher.

Reynolds (84) ambaye alikuwa akiandaa maziko ya binti yake Fisher (60) alisikika akiiambia familia yake kuwa anataka kuwa na Carrie.

Carrie Fisher, alifariki dunia jumanne kutokana na matatizo ya moyo yaliyompata usiku wa Krismasi akiwa kwenye ndege akitokea London kuelekea Los Angeles
Debbie akimtambulisha mtoto wake Carrie katika ulimwengu wa filamu hii ilikuwa mwaka 1958
                               Carrie Fisher akimbusu shavuni mama yake Debbie Reynolds

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA