MKUU WA MKOA WA MBEYA AAZIMIA KUBORESHA ELIMU MKOA WA MBEYA
- Ni mjadala wa wazi na wadau wa Elimu Kujadili changamoto za Elimu na mikakati ya kukabiliana nazo.
- Lengo ni kuongeza Ufaulu na kuboresha Elimu.
- Asema kushusha vyeo wakuu wa Shule siyo suluhisho kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wao.
Kwa umuhimu wa Elimu amewakaribisha wadau wa Elimu kujadili kwa kina changamoto zilizopo na kuweka Mikakati ya kuboresha elimu na hatimaye Mkoa wa Mbeya uwe Mkoa wa Mfano ikiwemo kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha juu
0 comments:
Post a Comment