Monday 24 March 2014

529 WAHUKUMIWA KIFO MISRI.






Mahakama nchini Misri imewahukumu kifo watu 529 ambao wanasemekana kuwa wafuasi wa Rais aliyeng'olewa madarakani Mohammed Morsi.

 
Watu hao walikabiliwa na mashtaka mbalimbali yakiwemo mauji na kuwavamia polisi.Wafuasi hao wa chama kilichopigwa marufuku cha Muslim Brotherhoof,ni sehemu ya kundi lingine kubwa la watu zaidi ya 1200 wanaoaminika kuwa wafuasi wa Morsi.
Maafisa wa utawala nchini Misri wamekuwa wakiendesha msako mkubwa dhidi ya wafuasi wa vuguvugu hilo,Tangu Morsi kuondolewa madarakani mwezi julai mwaka jana.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA