Monday 24 March 2014

MWANAMUZIKI MAARUFU KENYA AFUNGUKA NA KUMCHANA SUPER STAR DIAMOND PLATZNUM LIVE!!


Screen Shot 2014-03-24 at 1.46.32 PM

Imeshawahi kuandikwa baada ya stori kusambaa kwamba mwimbaji mtanzania Diamond Platnumz ana uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae ni dada wa rapper Bamboo, rapper huyu alisema
Diamond hana hadhi ya kutembea na mdogo wake.

Inawezekana hii kauli ya staa huyu wa ‘compe’ labda iliwafanya baadhi ya watu waone kama hampendi Diamond ila kiukweli, staa huyu ambae ni msanii anaependa kujihusisha na muziki unaoinua watu kimaisha pia, amekua mkweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Diamond kwenye muziki.


Kwenye Exclusive interview  Bamboo amesema ‘kitu kizuri au kikubwa ninachokiona kwenye muziki wa bongofleva sasa hivi ni kile kinachoonekana kwenye Channel O, MTV au East Africa TV na ninachokiona ni kwamba Diamond anang’aa sana sehemu hizo’
Na wananchi blg 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA