Wednesday 26 March 2014

ANGALIA PICHA TUKIO LA KUTISHA SAME MKOANI KILIMANJARO, ACHARANGWA VIWEMBE USONI


DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe, 
Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita, 
Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi. 


Chanzo hakikutaja jina laDada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same. Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA