EWURA: NCHI INA MAFUTA YA KUTOSHA
Felix
Ngamlagosi (kulia) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na
wanahabari (hawapo pichani) kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya
Petroli, Godwin Samwel walipotoa taarifa ya mafuta nchini leo katika
ofisi zao mpya Jengo la LAPF, Dar.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix
Ngamlagosi (kulia) akisoma taarifa yake inayosema mafuta yapo mengi
nchini
Mkutano ukiendelea na wanahabari.
0 comments:
Post a Comment