LIVERPOOL YAIPIGA SUNDERLAND 2-1,WAONGEZA PRESHA YA UBINGWA EPL. 08:27 | No Comments | Mshambuliaji wa Liverpol Daniel Sturridge akishangalia bao lake dhidi ya Sunderland,goli lingine liliwekwa kimiani na nahodha wa klabu hiyo Steven Gerald. Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment