Monday 24 March 2014

PICHA ZA WASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAKINGIA RASMI KIJIJINI



Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za kitanzania. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. Wageni waalikwa waliofika kijijini cha Maisha Plus kuangalia uzinduzi… Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA